Mwanaume kazini - Mtwara
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipata chai nyumbani kwa Balozi Said katika kijiji cha Mchomoro,wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Haloo Namtumbo
Sugua Gaga
Nikiona hivi nakumbuka enzi zangu
Ndani ya moja ya kiwanda cha korosho wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha korosho wilani Tunduru mkoani Ruvuma
Korosho zikichambuliwa kwenye moja ya kiwanda wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Jr wa Jiachie Blog
eeehhh karibu na kunyumba..ila duh Bibi naye kazidi hata kusugua guu hakuna...Watoto hao darasani nimekumbuka mbaliiii na huo mkaa aisee kaaaazi kwelikweli.
ReplyDelete