Pages

Wednesday, October 30, 2013

AJALI MBAYA YA DALA DLA YAUA WATATU MWANZA JIONI YA LEO

 Umati wa watu katika tukio la ajali ya dalala iliyokuwa inawakimbia trafik kwa makosa ya kuingilia root na kupasuka tairi na kusababisa vifo vya watembea kwa miguu watatu na kujeruhi watu kadhaa. Ilikuwa mida ya saa moja jion
 Samahani kwa picha kufifia
Haice iliyopata ajal na kuwa katika hali hii maeneo ya igoma mkabala na St. Marys school. Gari ya kishiri via Buhongwa ila dereva alikimbia baada ya tukio!

Samahani kwa picha kufifia...majeruhi na maiti zilipelekwa hospitali....poleni sana mliokumbwa na janga hilo.

Asante Madam Hellen kwa picha

No comments:

Post a Comment