Uji
Supu ya Nyama ya Ng'ombe
Mtori
Ndizi laini
Hivyo ni baadhi tu, kwani katika maisha yangu yote sikuwahi kuupenda mtori, nadhani nilikuwa napikiwa sivyo, ila wa sasa hivi Mama mkwe aliokuwa ananipikia niliupenda sana hadi leo hii ukinipa mtori naufurahia, ulikuwa unapikwa vizuri, siku nyingine anaweka samaki..........nimekuwa Member mzuri sasa wa huu msosi.
HAYA MASHAVU NILIYONAYO HAYAJAJA HIVI HIVI, MTORI UNATUGAWIA AFYA NJEMA YA MIMI NA BABY ALVIN
SIKU NJEMA WAPENDWA
Twafurahi kusikia mna afya njema wote mama na mtoto. Endelea kuvila ili maziwa yawe ya kutosha kwa mtoto Alvin.
ReplyDeleteAsante sana dada, nitaendelea kufanya hivyo
ReplyDeleteDuuhh umefauduuu..huu uji wa nini? Napata picha umenenepa sana..Jichane mama Alvin..Kuzaa raha kama unamtu wa kukutunza/kukuangalia!!!
ReplyDeleteRachel mpenzi huo ni uji wa mahindi umewekwa blue band na pili pili manga
ReplyDeleteWow my wii kwa raha zako, nakuoneaje gere sasa?? Supu ya matoke, nyanya chungu na utumbo umeonja? Uwiii sijui nikamilizie huko huko lol! Nakuonea raha my wii a kiss to my Alvin
ReplyDelete