Pages
▼
USAFI NA USALAMA WA CHAKULA NA MAJI: SEHEMU YA PILI
Usafi wa vyombo
1. Osha sawasawa vyombo vilivyotumika kutayarishia vyakula vibichi hasa nyama, samaki, au mayai kabla ya kuvitumia kutayarishia vyakula vingine.
2. Ni muhimu kuwa na kichanja cha kuanikia vyombo.
3. Hakikisha sehemu ya kuhifadhi vyombo ni safi na kavu
Umenikumbusha mbali sana ..kuwekeana zamu ya kufanya usafi kama huu nilipokuwa kadala/kachiki...
ReplyDeleteNimeipenda hii maana imeonyesha hali halisi ya maisha yetu, ....maana wengine wangeliweka nyumba ya kifahari, meza la bei mbaya...eeh, HONGERA MPENDWA
ReplyDeleteNimeipenda hii Ester..blogu yako ina vitu na maisha halisi ya mwafrika..
ReplyDeleteInahitaji Tuzo kwa kweli..
Asanteni sana dada zangu......napenda kweli uafrica wetu
ReplyDelete