Pages

Monday, April 22, 2013

LEO TWAANZA WIKI KWA KUONYESHA UPENDO KWA WENZETU

Michuzi Jr. akiwa kijijini Matombo - Morogoro, kwa upendo kabisa aki show love kwa watoto na wanakijiji wa hapo............Kama kweli unampenda Mungu usiyemuona ni rahisi sana kumpenda Binadamu unayemuona na kuwa naye siku zote

Nawatakia Jumatatu njema na wiki yenye ufanisi kwenu nyote

No comments:

Post a Comment