Pages

Sunday, March 31, 2013

NAWATAKIA PASAKA NJEMA NA YENYE AMANI

TUSALI

TULE

TUNYWE

TUWE NA FAMILA ZETU AU MARAFIKI ZETU HASA KUTAFAKARI MAANA YA HII SIKU NA KUSHEREHEKEA KWA AMANI


TWAWATAKIA PASAKA NJEMA..........ONE LOVE

2 comments:

  1. pasaka iwe njema na yenye amani kwenu pia...Ahsante. Mmwpwndwza kweli nimependa sana mlivyovaa...na chakula mmmmhhh

    ReplyDelete