Pages

Thursday, March 7, 2013

HEHEHEHEHEHE USIULIZE KAPANDAJE HUKO JUU

NIMEHADITHIWA KUWA:  Ng'ombe aligoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi huko MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi, usiulize kapandaje kule juu.

1 comment: