Pages

Wednesday, March 13, 2013

AJALI YA PIKI PIKI: UHAI KWANZA

Ni kando ya barabara mpya 30km kutoka mji mkongwe wa Bagamoyo,kijiji cha fukayose, ilikuwa majira ya saa sita za mchana kijana mwenye pikipiki hiyo akilazimika kuiacha.chezea moto wewe! Uhai kwanza

1 comment:

  1. pIKIPIKI NI HARAI SANA MIE NAOGOPA KWELI...NA SASA KILA MAHALI NI PIKIPIKI TU...

    ReplyDelete