WATOTO NI BARAKA NDANI YA NYUMBA.....HAIJALISHI UMEZALIWA KATIKA FAMILIA IPI
Wiz Khalifa na mwanaye
Nawatakia Ijumaa njema, tuzidi kuwafariji watoto wetu hasa waliomaliza Form IV mwaka huu, tutafute kila namna ya kuongea nao wasiendelee kujinyonga hasa wale waliofanya vibaya, hii inasikitisha mno.
nawe pia uwe na ijumaa njema ..ahsante kwa bonge la ujumbe
ReplyDelete