Tule ugali
Na samaki waliokaangwa
Au na Samaki waliochomwa
Hawa ni samaki ambao wamechomwa na wanalika vizuri sana
Na kachumbari pembeni yenye pilipili au isiyo na pilipili, ni wewe upendavyo tu
Ukishiba pumzika kidogo halafu ushushie na maji ya kunywa baridiiiii
Wakati umepumzika unakuwa unashushia na matunda kidogo kidogo
Nawatakia mchana mwema na mlo mwema
Nimetamanije hao samaki nakachumbariii mate yantoka hapa....
ReplyDelete