Pages

Thursday, February 7, 2013

HUYU ATAKUWA SI MTOTO WAKE NA HANA HURUMA KABISAAA KWA WATOTO......KAMA NI MAIGIZO HUU NI UNYANYASAJI AISEE

2 comments:

  1. moyo wangu jamani my wii usiku wangu umegawanyika vipande, huyu alitaka kumuua maskini mtoto

    ReplyDelete
  2. imenikumbusha ya yule mama wa malaysia jamani nililia kidogo roho izime humu duniani kuna unyama kama humpendi mtot si bora umpeke hata kituo cha police umtupe hapo jamani wasamalia wamuokote kwan nini jamani sisi wanawake tunakuwa hivi lakini? roho imeniuma sijui hata kama nitalala.

    ReplyDelete