Pages

Tuesday, January 8, 2013

HUU MCHEZO UNAKUKUMBUSHA NINI.........JE! WATOTO WA SIKU HIZI WANAUFAHAMU???

 Ulishawahi peperusha TIARA??? unakumbuka nini enzi hizo??
 Kunyang'anyana na wenzako, kuwafichia wenzako tiara zake......
Je! unakumbuka nini?........Watoto wa siku hizi sidhani kama wanacheza sana huu mchezo, hasa kuzitengeneza wenyewe huo ujuzi sidhani kama wanao, kama wapo ni wachache, wa sasa hivi labda wananunua ambazo ziko tayari kabisa

No comments:

Post a Comment