Pages

Wednesday, January 2, 2013

HONGERENI KWA KUINGIA MWAKA 2013.........NA POLE NYINGI SANA KWA KUPOTELEWA NA MSANII SAJUKI

Wapenzi wetu wa Blog ya Rural & Urban.......napenda kuwapongeza sana kwa kuunza mwaka mpya 2013.......Si kwamba sisi ni wema sana kwa Mungu na anatupendelea.....yote hiyo ni mipango yake yeye Muumba......Leo hii alfajiri tumempoteza Sajuki....alijitahidi sana kupigania afya yake na walijitokeza wengi kumsaidia...lakini kwa Mapenzi ya Mungu amemuita kwake ikiwa ndo tumeuona mwaka....wapo wengi hawakuweza kuuona mwaka huu na waliouona kidogo Mungu akawaita.....Mungu azilaze roho za marehemu wote Peponi......Amen
RIP SAJUKI.....MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI......POLE NYINGI KWA FAMILIA YAKO, MARAFIKI WOTE NA MKEO KIPENZI WASTARA

1 comment:

  1. hongera nawe my wii kwa kuuona mwaka, kweli ni jambo la kusikitisha lakini mapenzi ya Mungu hayapingwi nilimpenda sana huyu kaka ila Mungu kampenda zaidi yaani nilikuwa kila nikiona picha yake nalia lakini Mungu anajua alihitaji kupumzika baada ya kuteseka sana. REST IN PEACE Sajuki

    ReplyDelete