Uyoga......yaani msimu wa mvua wanafaidijeeeee????????
Komamanga hilooo
Baba na Bamdogo
Kaka zangu hao....huyo mweupe twamwitaga mchina maana ana weupe mkali kweli, jua tu lamuunguza kaka ....hahahahah
Duh mbwa wa Dogo...
Kijijini kwetu Tuli......baba na mkwewe
Mama mzaa chema naye tulikuwa naye kijijini......mimi kumbuka yeye sana
Sijui mwaka huu mvua itakuwa nzuri wakulima wafaidi kilimo
Baba na mwana
Ukiwa na kiu Maji ya shambani matamu mno
Nawatakia Desemba njema wapendwa na msherehekee vema sherehe zijazo
Oh wow nimefurahije kuona hizi picha? Asante my wii December mwezi wangu huu was barn in December naupendaje? Sema Huku na mi snow Yao wananiboa napanga miaka ya mbele December nisiwe huku ili niifaidi vizuri. Kisses
ReplyDeletemy wii poleni sana na Snow....desemba uwe unakuja bongo tule na cake pamoja...hahaha
ReplyDeletemy wii poleni sana na Snow....desemba uwe unakuja bongo tule na cake pamoja...hahaha
ReplyDeleteNami nimetamani huo uyoga kweli ..picha nzuri nimezipenda halafu naona umefanana kweli na baba...
ReplyDeleteEsther umefanana na wazazi wako ni balaa..
ReplyDelete