Unazidi kuwa Mkaka......Nakutakia heri zaidi hasa kwenye kumbukumbu yako hii ya kuzaliwa.....Mshukuru na Kumuomba Mungu kwa kila jambo, mtangulize yeye maana ndo mpaji wa yote. Zingatia masomo yako huo ndo msingi mkuu utakaokuongoza katika maisha yako.
Mimi penda sana wewe...unaijali na kuipenda familia yetu....wewe ni mdogo wangu lakini pia ni rafiki yangu mno....nimekukumbuka mno laiti hii siku ingekukuta Bongo duuuuuuuuu
Ila naamini mama Stima yuko busy na Vichwa vya Ntalali kukuandalia mambo
Happy bilated Birthday Dogo nayoooooooo
great post honey , nice these photoos!
ReplyDeletexx