Pages

Friday, October 12, 2012

UNAKUMBUKA NINI UKIWAONA HAWA????? WEKA MAELEZO KWENYE KILA TUKIO






3 comments:

  1. Picha ya kwanza nakumbuka nilivyoanza kuandika...picha ya pili pia....
    Picha ya tatu kucheza baba/mama/watoto
    ya nne nipo jikoni napika na nakumbuka vipi chumvi zilikwa zikiisha
    ya tano naona chakula kitawa cha nazi hapa naona tui linatengenezwa.

    ReplyDelete
  2. yaani hayo maelezo da Yasinta umelenga mule muleeee

    ReplyDelete
  3. Da´Ester ukiona hivyo ujue mboga zilikuwa zinaungiua kweli kwa ajili ya kucheza michezo hiyo..ila nafurahi leo najua kupika:-)

    ReplyDelete