Pages

Thursday, October 25, 2012

TUINGIE KWENYE BASI KWA MSTARI

 Kwani nini kigumu? Mbona wenzetu wanafanya! Hapo ni sehemu moja inaitwa Ngumba hapa Nairobi.

4 comments:

  1. Labda mtoto umleavyo..hakika hii inapendeza bila kusukumana

    ReplyDelete
  2. Nashangaa ugumu kwetu, make mtu anakuja wa mwisho anataka awe wakwanza hapo ndo kesi inapotokea. Sijui ni nini hasa kinatufanya kuwa hivi. Na hizo gari moshi nilitegemea zipunguze tatizo kumbe litabaki pale Mtu aache daladala ya 300 akapande train 800 jamani

    ReplyDelete
  3. Kweli mtoto umleavyo dada Yasinta

    My wii Train imeanza leo nasikia watu wamepanda kwa wingi, ngoja tuone muelekeo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wow hapo swafi, nilisikia nauri ingekuwa 500 hope unafuu utakuwepo sasa. Busu

      Delete