Vitanda vimeisha kweli kweli, inakuwa haina hadhi tena kuita First Class, marekebisho yafanywe
Hii niliambiwa ni AC
Kwa sasa zipo kama mapambo...hazifanyi kazi
Sinki la maji, abiria huweka mizigo yaoo kama uonavyo
Testing kama maji yanatoka.........maji yapo muda wote kwa hili mmweweza, issue nyingine ni panya na mende, wengi mnoooo
kama hiyo ni festi, hiyo thedi itakuwaje?
ReplyDeleteyaani hiyo third ni balaaa
ReplyDeletesafi sana jamani...
ReplyDelete