Pages

Monday, September 10, 2012

UZEMBE ULIKITHIRI NA KUTOJALI PIA


 MAWASILIANO HADI YANASABABISHA MTOTO KUANGUKA
 HADI HURUMA KWA KATOTO

PAMOJA NA MTOTO KUANGUKA...LAKINI BADO SIMU IKO SIKIONI ......HUU NI UZEMBE WA HALI YA JUU NA KUTOKUJALI KUHUSU MTOTO USALAMA WAKE


HALAFU MWISHO WA SIKU UNAANZA KULALAMIKIA SERIKALI........HII HAINIINGII AKILINI KABISA.......WADU MWAIONAJE HII

2 comments:

  1. Yaani anajali zaidi simu kuliko usalama wa mtoto hakika huo ni uzembe wa hali ya juu..sijui alikuwa anaongea na nani?

    ReplyDelete
  2. ni uzembe jamani hata kama unaongea na mtu muhimu kiasi gani....huwezi kuwahivi kwa mtoto...hadi ameanguka bado umuhimu hauonyeshi

    ReplyDelete