Pages

Saturday, September 22, 2012

USIKU WA KUAMKIA ALHAMIS/SIKU YA SEND OFF ULIKUWA NI MKESHA WA HAJA.....SHUHUDIA MATUKIO

 POMBE YA KIENYEJI KOMONI.........MUZIKI WA HASA.......LAZIMA SHANGWE ZIWE SHANGWE
 WATOTO KWENYE MATUKIO KAMA HAYA HAWAKOSEKANI HATA MUWATOE VIPI...WANAPENYA TU
 HATA MIMI NAWEZA KUCHEZA HATA NIKIVAAJE....ILIKUWA SHANGWE MNOOOOOO.......STLE ZA KILA NAMNA
 INGIA KATI UONYESHE MAUJUZIII
 OYEEEEEEEEEEEE
 HAPO SASAAAAAA
 DJ AKISABABISHA
 CHEZA KIBODA BODAAAAAAAAAA
 UNANIJUA UNANISIKIAAAAAAAA......WEWEEEEEEEE
 KILA HUYO ANA NAMNA YAKE YA STAREHE...JAMAA ALIPOCHOKA AKASINZIA KIDOGO...ALIPOAMKA SHUGHULI YAKE ILIKUWA PEVU
 SWAGGA ZA KILA AINA ZILIKUWEPO
HAPO SASA...KUMBUKA AMESHAKUNYWA KOMONI HALAFU NA MASEBENE YA NGUVUUUUU

USITOKE HUMU....MATUKIO MENGINE YAJA

2 comments:

  1. Hongereni sana kwa shughuli nzuri. Esther wewe ni kiboko kwa kuchukua matukio..

    Tuongezee picha tafadhali..

    Kila la heri..

    ReplyDelete
  2. hahaha Matukio hayo yanachekesha kweli

    ReplyDelete