Pages

Wednesday, September 12, 2012

Taswira Kutoka Davis Corner, Vituka Dar

Eneo la Davis Corner, Vituka jijini Dar es salaam ambalo baadhi ya wakazi wanalitumia kutupia taka kinyume cha sheria. Eneo hili litajengwa mzunguko (Round about) na kuyawezesha magari kupita katika eneo hilo na kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo katika mikakati inayoendelea ya kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es salaam.

1 comment:

  1. Itapendeza kama itakuwa hivyo hata mie ntakuwa naendesha dar kama itakuwa hivyo maana duh! kuendesha dar ni mtihani mkubwa.

    ReplyDelete