Huku Tabora kunasifika pia kwa Wingi wa Miembe......ingawa wachoma mkaa wanaimaliza sana siku hizi
Na sasa Miembe karibia yote imepamba na tukisubiria yaive tujidai.........Huku ndo Unyanyembe a.k.a. Mboka, utkutana na Embe Bolibo, Dodo, Sindano, Kimavi, n.k.
yam yam yam hivi ndio mzimu wake kweli?
ReplyDeletendo yanakomaa komaa, huku Tabora twayavizia kweli, tutaanza kuyala soon
ReplyDelete