Safari ya kuelekea Tabora ilianzia hapa........Nilikuwa sijasafiri kitambo na Train....nilipoambiwa zimeanza upya nikaona nisafiri na usafiri huu ingawa bado haujaboreshwa sana......nili enjoy...kunesa kwa sana
Haloooo....Ndiyo.....Ndo nataka nipande.....sawa....Asante sana
Happy Wife......
Nikiingiza Mizigo chumbani
Nikichagua upi unifaao
Gogo
Namba ya Behewa nililopanda
Jembe alikuwa sambamba kumsindikiza dada....MSHUA HAONEKANI PICHANI, alikuwa msindikizaji pia
Keep refreshing the Page....More photos zaja
Hahahaaaaa Ester kumbe tupo wengi ambao hatuwezi kuchagua kama kuna vingi nimecheka kweli...Natumaini ulisafiri salama...
ReplyDeleteHahaha yaani eti nikawa naangalia upi unafaa au haujaana kuharibika...yani kuchagua ni balaa jamani hasa uwekewe vingi kwa pamoja
ReplyDelete