Pages

Wednesday, September 5, 2012

KITU CHA MAKANGE YA KUKU WA KIENYEJI NA SAMAKI SATO @KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

 SAMAKI SATO HUYO......NDANI YA VYOMBO VYA ASILI....VYUNGU
 HII ILIKUWA NI LUNCH.......MAKANGE YA KUKU NA UGALI....TULIFAIDIIIII
 UGALI LAINIIIIII......MAHARAGE, BAMIA NA MBOGA ZA MAJANI
HAPA ILIKUWA NI KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

6 comments:

  1. Ester! hii tabia si nzuri kabisa nitakushtaki..LOL yaani mate yalivyonidondoka ndo ndo ndo..hasa huyo msamaki yamu yamu yamu..wewe utamu huo mpaka nimepata hamu ila sasa itakuwa hamu ya kushiba katika picha tu...

    ReplyDelete
  2. YAANI MBOGA ILIKUWA TAMU MNOOOO....YAANI NATAMANI KAMA NIENDE TENA KULA

    ReplyDelete
  3. Ukienda tena kula basi nikulie na mimi maana kwa macho tu inaonekana tamu kwelikweli...

    ReplyDelete
  4. Jamani my wii chakula kina mvuto hicho, ila samahani naomba kuuliza makange ni nini? niliwahi kusikia kuwa ni matamu sana. mwaa

    ReplyDelete
  5. Makange my wii ni namna ya kumpika kuku...hiyo style wanavyopika ndo inaitwa makange hahahhaha, kuelezea issue hapo

    ReplyDelete
  6. Dah..natamani kujua jinsi ya kupika makange ya samaki sato,nisaidieni jamani mana kuna mtu yuko adicted mnooo na naona aibu nikiwa naambiwa tutoke tukale samaki nje wakat ndani jiko lip...please,mnawexa nitumia through idda.mkoba@fmfc.co.tz

    ReplyDelete