Pages

Wednesday, August 15, 2012

SIO KWAMBA TUBWETEKE NA KURIDHIKA



Japokuwa tuna kila sababu ya kujivunia usafiri wetu wa daladala, haimaanishi kwamba tubwetene na kutokuuboresha. Mdau mmoja kanitumia picha hizi za usafiri wa daladala za MALI huko Africa Magharibi.

1 comment:

  1. Usafiri wa umma unahitaji maboresho yanayokidhi mahitaji halisi ya jamii.

    ReplyDelete