Nimezipenda hizo T-shirt..Hivi kwa nini zinaitwa T-shirt? Nakumbuka zamani walikuwa wakiziita skipa..ni hizi T-shirt au kitu kingine?..Umependeza mdada:-)
nITAJITAHIDI KUKUTAFUTIA UKIJA BONGONADHANI ZAITWA T-SHIRT KWAKUWA ZIKO MUUNDO WA T......NADHANI SKIPA NI KISWAHILI AU????????
Nitashukuru...Upo sahihi eti hata sikufikiria hivyo T..Ahsante dada mdogo:-)
Nimezipenda hizo T-shirt..Hivi kwa nini zinaitwa T-shirt? Nakumbuka zamani walikuwa wakiziita skipa..ni hizi T-shirt au kitu kingine?..Umependeza mdada:-)
ReplyDeletenITAJITAHIDI KUKUTAFUTIA UKIJA BONGO
ReplyDeleteNADHANI ZAITWA T-SHIRT KWAKUWA ZIKO MUUNDO WA T......NADHANI SKIPA NI KISWAHILI AU????????

ReplyDelete