Pages

Monday, August 13, 2012

NA HUKU WENGI WETU NDO ASILI YETU

 Mabanda ya Mifugo 
 Na mifugo ikilishwa
 Ndo vijiji vyetu, hata mijini mazingira kama haya na ufugaji wa namna hii upo tele
 Mavuno time....chezea wakulima wewe

 Sasa je!  unakumbuka wapi ukiona hivi??????????
Rural Life Style.....Haya maisha hayatofautiani saana na Mjini, hata hapa Dar yapo ukienda Mbande, Kimbiji, Mabwepande, n.k.
Asante Vero kwa Matukio haya

1 comment:

  1. Hakika jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.

    ReplyDelete