Jana nimekaa ndani hadi saa 11 jioni wana sensa hawajapita...ile natoka ndani tu nimefunga mlango nikafanye mizunguko, naona Karani anaingia
Ikabidi nihesabiwe nikiwa nimesimama hapo hapo nje...na karani hakuwa na hiyana
Nikaanza kuhojiwa...nikatoa ushirikiano woteee
Alikuwa anatik kila nikimjibu swali
Hapa alikuwa ananiambia dodoso langu lina maswali 37...wapo ambao wana wanaulizwa maswali hadi 60
Kwa wale ambao hamjahesabiwa....mtahesabiwa tu, ndo maana kuna siku 7
Duh! nitawahi kweli kuhesabiwa na mimi?:-(
ReplyDeleteHongera mpendwa, tumekuongeza kwenye kura yetu 2015, ww usifike kupiga kura, umeshapiga tayari!
ReplyDeleteasanteni sana...dada Yasinta sidhani kama utawahi
ReplyDeleteNasikitika nimepitwa lol! Maswali 60 si kichwa kitauma inamaana majibu ya maswali mengine wanayo huko serikalini ndiyo maana ukapatiwa kidogo. Heri umemaliza sasa uswampe vizuri my wii wangu Kizuri.
ReplyDelete