Pages

Monday, August 6, 2012

ILIKUWA NI DIAMOND SASA NI WEMA: KARIBIA KILA KITU VINAFANANA.......


Kwanza: nawapa pole kwa kuugua
Pili: mimi naona kama utata fulani, ukifuatilia historia za ugonjwa wao unafanana, mahali/hospitali waliyotibiwa ni moja, Daktari huyohuyo, tofauti ni kuwa alianza Diamond kafuata Wema......Hizi ni ishara za nini???  Nawaza tu kwa SAUTI wapendwa.......au kuna Movie wanaandaa? Au kuna ujumbe wanajaribu kuutuma kwetu sisi wananchi....duh najikuta nawazaaaaa weeeee jibu linakuwa NEHHHH

NAWAPENI POLE SANA NA MPONE HARAKA

MUWE NA SIKU NJEMA WADAU WANGU WOTE

No comments:

Post a Comment