Pages

Saturday, August 4, 2012

HERI YA KUMBU KUMBU YA KUZALIWA VERONICA STIMA

 Mdogo wangu wa ukwee
 Nakutakia maisha mema na marefu, hasa katika kumtegemea Mungu kwa kila ufanyalo
Najidai sana kuwa na mdogo kama wewe...kwenye shida na raha twakumbukana...shukrani sana kwa upendo uuonyeshao kwangu na kwa familia kwa ujumla.

NAKUPENDA SANA NA DAIMA TUTAKUWA BEGA KWA BEGA KWENYE KUTIMIZA NDOTO ZAKO......AMINA

No comments:

Post a Comment