Pages

Friday, August 10, 2012

AJALI ILIYOTOKEA JANA JIONI MATAA YA NAMANGA KINONDONI

Mwenye Gari hili alimgonga Baba mmoja alikuwa anavuka barabara pale mataa ya Namanga-Kinondoni
Na huyu ndo aliyegongwa, hapo aliyemgonga akiwa kampakia kwenye gari lake ampeleke hospitali, aliumia kwakweli
Kama ilivyo ada ikitokea ajali au tukio lolote la Gafla, hukosi kuona mkusanyiko wa watu kushuhudia tukio
Kila huyo alipata mshtuko wa aina yake

No comments:

Post a Comment