Pages

Friday, July 27, 2012

WEEKEND NJEMA WAPENDWA WANGU WOTE

 Umoja ni nguvu...utengano ni udhaifu. Weekend hii tujifunze Swala zima la Umoja na faida zake kupitia wenzetu na utaona faida zake. Ona hao ndege wanatufundisha nini?
Uongo ni sumu katika maisha yetu.........weekend hii tujitahidi sana kuliangalia hili katika nyanja mbali mbali, wapo wanaosema uongo unasaidia, je! uongo wa kwenye picha hapo juu unasaidia?

Love u so much my people

6 comments:

  1. EPUKA MAMBO YANAYOMCHUKIZA YEHOVA MUNGU.
    =================================
    Uuaji.—Kutoka 20:13; 21:22, 23.
    Ukosefu wa maadili.—Mambo ya Walawi 20:10, 13, 15, 16; Waroma 1:24, 26, 27, 32; 1 Wakorintho 6:9, 10.
    Kuwasiliana na pepo.—Kumbukumbu la Torati 18:9-13; 1 Wakorintho 10:21, 22; Wagalatia 5:20, 21.
    Kuabudu sanamu.—1 Wakorintho 10:14.
    Ulevi.—1 Wakorintho 5:11.
    Kuiba.—Mambo ya Walawi 6:2, 4; Waefeso 4:28.
    Kusema uwongo.—Methali 6:16, 19; Wakolosai 3:9; Ufunuo 22:15.
    Pupa.—1 Wakorintho 5:11.
    Jeuri.—Zaburi 11:5; Methali 22:24, 25; Malaki 2:16; Wagalatia 5:20.
    Maneno yasiyofaa.—Mambo ya Walawi 19:16; Waefeso 5:4; Wakolosai 3:8.
    Kuitumia damu isivyofaa.—Mwanzo 9:4; Matendo 15:20, 28, 29.
    Kukataa kuiandalia familia.—1 Timotheo 5:8.
    Kushiriki katika vita au katika mizozo ya kisiasa ya ulimwengu huu.—Isaya 2:4; Yohana 6:15; 17:16.
    Kuvuta sigara au kutumia dawa za kulevya.—Marko 15:23; 2 Wakorintho 7:1.

    ReplyDelete
  2. @Ester;
    Uongo ni sumu maishani na vema kwetu tujiepushe na uongo wa kila aina ili tuishi maisha yanayompendeza Mungu na jamii kwa ujumla.
    Wikiendi njema kifamilia kwako na wadau wako wote.

    ReplyDelete
  3. Tupo pamoja, kweli umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, na uwongo haujengi,...!

    ReplyDelete
  4. @Ester;
    Mgonjwa akipewa pole muongo apewe nini?

    ReplyDelete
  5. HAHAHAHAHAHAHAHAHAH,YOU HAVE MADE MY DAY.

    Sellasi I.

    ReplyDelete