Pages

Monday, July 9, 2012

MWISHO WA KUTUMIA SIMU FEKI UMEWADIA - KENYA

Map of Kenya
Kwa Wakenya wote....Tarehe 30 mwezi wa 9 mwaka 2012 simu zao KAMA NI FEKI zitafungwa na Shirika la Mawasiliano la Kenya

Je! kama utaratibu huu ukija Bongo wangapi tutabaki na simu? Wenzetu wanapinga vikali uingizwaji wa vitu bandia nchini mwao.

Sie tupo tu tunachakachua hadi mafuta kwenye gari ya Rais. Hatari kabisa

No comments:

Post a Comment