Nakumbuka dengu za kukaanga,barafu za ukwaju zile pipi nimezisahau jina jamani zilikuwa zina pingili kama peaches radha tofauti, mabumunda, nk. mkiudi darasanai mnaanza kuimba....Musa is running......duh
LEO HADI NIMEKUMBUKA DARASA LANGU LILIKUWA UPANDE UPI NA DAWATI NA SKIRT RANGI GANI
hicho kitabu cha Musa aisee hata mie nakikumbuka...je umepata jibu dawati lilikuwa upande upi na sketi na shati rangi gani..Mie ilikuwa sketi ya bluu na shati nyeupe...
ReplyDeleteKipindi hicho Azimio shule ya msingi, nilikuwa navaa kijani, dawati lilikuwa la katikati mstari wa pili kutoka mbele.....duh jamani nikiwaza hilo vumbi lake jamaniii
ReplyDelete