Nyumba ya mwalimu wa Gumba...nimeipenda
Nyuma ya Bango ndo Garden yenyewe...duh
Bibi akiwa na Wali ndo wametoka siku chache zilizopita...ni mtu na dada yake...Bibi yeye anasema enzi zake alikaa mwaka mzima ndani akitawa ndo akaletewa Mchumba akolewa...alikuwa ni miongoni mwa wake wanne wa mumewe....ila hakuwahi kubahatika kupata mtoto.....wote hao ni Wazaramo...bibi akasema kuwa kipindi chao unaweza ukawekwa Mwali hata miaka 7 hadi upate mume, tofauti na siku hizi
Watoto wakicheza
Mama akifanya mambo jikoni
Msosi Time
Machenza...matamu hayoo
Nikajitahidi kuchuma baadhi ya kula hapo hapo shambani kabla Babu hajanipa ya kubeba
Mlimao na malimao yake mtini
Pili pili Kichaa
Kiazi kikuu
Shina la Kiazi Kikuu...limetambaa hadi likapata support kwenye mpapai
Kiota cha ndege
Mihogo
Ukiona shina la muhogo ardhini pamepasuka hivi, ujue muhogo umekubali
Bata
Passions
Maua Pori
Babu akiendelea kunichumia machenza
Nyumba za walimu
Shule imejaliwa kuwa na miti
Madarasa
Nadhani hawaja edit huu ubao tokea mwaka jana
Tanki la maji hapo shuleniwanavuna maji ya mvua
Tanki la maji
Maeneo ya Shule ya Msingi Gumba
Hii ilikuwa nyumba ya mwalimu ilipobomoka akahamishiwa kwenye nyumba nyingine
Jumamosi yangu iliangukia huku kijijini...weekend njema wadau
Jumamosi yangu iliangukia huku kijijini...weekend njema wadau
Ahsante kwa taswira..nimetamani hayo macheza..
ReplyDeleteHongera kwa safari bandugu sasa vipi mashamba ya bei nafuu b ado hapo huko gumba.0786 939291 my no.
ReplyDeleteAdd hi nzuri kiongozi hangers.vipi mashamba nafuu yapo
ReplyDelete