President John Atta Mills
died unexpectedly on 24th July 2012
Ebenezer Djietror said Vice President John Dramani Mahama would be sworn in at 1800 GMT.
According to the country's constitution, Mahama will complete Mills's term that was due to end with elections in December.
Hakika kifo ni adui yetu maishani.
ReplyDeleteNa huyu Adui twamuogopa mnooo
ReplyDelete7 Nenda, ukale chakula chako kwa kushangilia na kunywa divai yako kwa moyo mchangamfu, kwa sababu tayari Mungu wa kweli amependezwa na kazi zako. 8 Katika kila pindi, mavazi yako na yawe meupe, wala kichwa chako kisikose mafuta. 9 Furahia maisha pamoja na mke unayempenda siku zote za maisha yako yaliyo ya ubatili ambayo umepewa na Yeye chini ya jua, siku zote za hali yako iliyo ya ubatili, kwa maana hilo ndilo fungu lako maishani na katika kazi yako ngumu unayoifanya kwa bidii chini ya jua. 10 Yote ambayo mkono wako unapata kufanya, yafanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda. _Mhubiri 9:7-10
ReplyDelete