Wakulima huwa ni wajanja sana na kila walimapo mpunga au mtama au ufuta nk. maranyingi wanafunga nguo kama hivi
Ndege akiona hivi anajua binadamu yupo
Hataweza kusogea eneo hilo anajua mwenye mali yupo
Ona kama mtu vile
Jamaa kasimama hadu kaptula inamshuka...ulinzi shirikishi
Mpunga wako utauvuna ukiwa haujaliwa sana na ndege
Ni kweli mbinu nzuri sana maana kukaa hapa na kulinda mwenyewe utachelewa kufanya shughuli nyingine...
ReplyDeleteUBUNIFU KAZINI
ReplyDelete