i like the pics of the fields. those plants are tall!
Mdada na kazi HONGERA ...Nimetamani kweli hicho kisamvu hapo uliposimama nusu nianza kuchuma...
Lexi yapYasinta asante dada...chuma utupikie tule na ugali hahahha
Acha utani mwenzako hapa nipo hoi hae,,,jinsi nikumbukavyo utamu wa kisamvu hasa inyeshapo mvua...
i like the pics of the fields. those plants are tall!
ReplyDeleteMdada na kazi HONGERA ...Nimetamani kweli hicho kisamvu hapo uliposimama nusu nianza kuchuma...
ReplyDeleteLexi yap
ReplyDeleteYasinta asante dada...chuma utupikie tule na ugali hahahha
Acha utani mwenzako hapa nipo hoi hae,,,jinsi nikumbukavyo utamu wa kisamvu hasa inyeshapo mvua...
ReplyDelete