Pages

Thursday, June 21, 2012

UNAKUMBUKA NINI ULIPOKUWA SHULE YA MSINGI

Muda wa hesabu....visoda na abakasi vilihusika sana
Muda wa mapumziko michezo kwa kwenda mbele...watoto wa siku hizi wanringishiana viduku tu...
Ukifika eneo la shule, halafu ni mapumziko, ni kelele tu ndo zinasikika
Namba Time....
Kama huna visoda....vijiti vilihusu hasa kwenye kukokotoa
Yale maisha nimeyamiss...
Wanafunzi wakisubiri Uji

1 comment:

  1. Yaani Ester unenirusdisha nyuma kweli nakumbuka kila asubuhi kwenda chekechea na kakangu na vikombe vyetu mkononi kwa ajili ya kunywea uji...Halafu nakumbuka vihesabia Vijiti/matete au ahata mawe...Somo nililolipenda sana hasa darasa la tatu ni Geografia na siasa...

    ReplyDelete