Pages

Tuesday, June 5, 2012

MAISHA NI KUSAIDIANA, HUWEZI KUSIMAMA MWENYEWE KWENYE KILA KITU

 Hii picha inaonyesha jinsi bajaji ilivyoharibika na inapata msaada kutoka kwa bajaji mwenzake
 Imepona na inaweza kuhimili yenyewe
Dada anafanya kazi yake ya kuweka mafuta, na mwenye gari akiwa anamsaidia kuhakikisha kama mafuta yanaingia kwenye gari...hahahahaha.

HUWA SIPENDI KAULI ISEMAYO...."BILA MIMI YULE ASINGEKUWA ALIVYO SASA".....KWANINI TUJITAMBE KUWA SISI NI MADARAJA YA WATU KUPITA??? KAMA UNAMSAIDIA MTU KWA WEMA HAKUNA HAJA YA KUMTANGAZA KWA KILA MTU AJUE UMEMSAIDIA...kusaidiana ni wajibu wetu, na Mungu anafurahi tukifanya hivyo, tenda wema uende zako, kama utaona kutangaza ni vema ili watu wajue, tafuta namna nzuri ya kuitangaza ili usimkwaze uliyemsaidia....NAWAZA KWA TU SAUTI


NB: SIMAANISHI UKAE TU USUBIRI MISAADA, JISHUGHULISHE KWA BIDII

No comments:

Post a Comment