Pages

Monday, June 4, 2012

HAPA NA PALE KUTOKA LAKE RUKWA - RUKWA

Uvuvi ukiendelea kando kando ya Ziwa Rukwa

Asili yetu hizi nyumba
Kama historia inasema Nyani walibadilika wakawa watu, mbona nyani wa siku hizi hawabadiliki?????? tungejaaje hapa duniani....

1 comment:

  1. Eti tumekuja kuwashika ..nimecheka kweli haya maandighi kweli mtumbwi huo...

    ReplyDelete