Pages

Thursday, May 3, 2012

URBAN LIFE STYLE: COMEDY CLUB LIVE

Haya ndo mambo ya mijini bwana, siku hizi najitahidi sana nisikose hii event ya Vuvuzela Entertainment ikiongozwa na Evans Bukuku ndani ya Nyumbani Lounge, watu tunaenda kucheka tuuuu, yaani ni mwanzo mwisho furaha

 Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni waliojitokeza kushuhudia.
 ...aha... aha wengine waliamua kuweka kumbukumbu.
 ...yani wewe hapa ni kazi tu
 ...wakifuatilia kwa ukaribu.
Mambo yakihifadhiwa.
Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akiwa pamoja na Enika wa kundi hilo wakionyesha maujuzi yao ya kuimba.

No comments:

Post a Comment