Pages

Thursday, May 10, 2012

MIAYO

 Mara nyingi miayo hutokea hasa tuwapo na njaa
 Au hutokea tukiwa na usingizi
 Pia Miayo hutupata tukiwa na uchovu hasa
Siyo hayo tu, pia tukimuona mwingine akipiga miayo nasi tunaambukizwa na kupiga miayo

Je! una lolote la kutueleza kuhusu Miayo????? Funguka mdau

8 comments:

  1. huyo mom kiboko...maana kafunika wenzake,,teh teh teh

    ReplyDelete
  2. huyo mama kiboko....kafanya na mimi nipige mmoja wa nguvu..

    ReplyDelete
  3. tehe tehe raha ya Muayo uupige hadi mwisho bila kuukatiza

    ReplyDelete
  4. halafu huku unajinyoosha mikono na mgongo,,,na tukkelele kwa mbalii

    ReplyDelete
  5. tena uwe unajinyoosha mikono na mgongo,,,halafu kakelele kwa mbaali

    ReplyDelete
  6. Ya kupata miayo kuwa ni dalili ya njaa nimewahi kusikia na pia ukiwa umechoka ila hiyo ya kupiga mwayo ukiwa ulelala hiyo mpya....

    ReplyDelete
  7. Yasinta ukiwa unasikia usingizi miayo inakuja kwa awamu

    ReplyDelete
  8. hahahhaa mi nimeishia kucheka sio kwa pozi hizo looh!!

    ReplyDelete