Pages

Wednesday, May 16, 2012

KIPAJI KUTOKA MOYONI

Huyu mtoto anasoma St. Mary's Mwanza

5 comments:

  1. Ama kweli hicho ni kipaji nilipoona nikasema ngoja nami nijaribu. Weweee ikabidi niombe msaada kuitoa miguu...Kaaaazi kawelikweli huu uzee huu:-(

    ReplyDelete
  2. Wow nimeipenda hii, wazazi wasikiache kizamie ndani kipaji hichi. Zamani nilikuwa hivi lol! Pata picha my wii unione hivyo ahahaa.

    ReplyDelete
  3. Yasinta una utani na viungo vyako? ulitakiwa uvikunje ukiwa kama dogo huyo, My wiii hahahha ulikuwa mkali, bado unajikunja hadi now?

    ReplyDelete
  4. Ehehe niipate wapi hiyo bahati ningewapigia hiyo kwenye la family lol! Ntaanza nione km sivuni japo ningalimu.

    ReplyDelete