Pages

Friday, May 4, 2012

KAZI NI KAZI

 Leo niko ofisini ila ki Field zaidi, hapa nikijiandaa kwenda kusaka nyoka mtaani
Naipenda kazi yangu aisee, hasa ikifika muda wa site, ijumaa njema wapendwa

5 comments:

  1. Da´Ester nyoka kama nyoka kweli au? Nimeipenda hiyo jezi ya ki-TZ:-)

    ReplyDelete
  2. Yasinta kweli, t-shirt hizi huwa nzuri kweli, John uko sahihi kabisa

    ReplyDelete
  3. Poa sana Ester, kaza buti mdogo wangu na Mungu azidi kukubariki.... umenifaa aisee.. Shukrani.

    ReplyDelete