DESIGNED BY BELINA..... BLC DESIGN (pic credit Shamim blog, was posted on March 07,2012)
Designed by Kahindo Mateene (pic credit Modahnik website)
(Photo was Posted on November 9, 2011,credit modahnik website)
Zote hizi ni African Touch designs, sasa nani amechukua mshono huu kwa mwenzake??? maana kila huyo anasema "designed by me", mimi nadhani kuna haki ya mtu hapa imebebwa,tofauti ni rangi na material, NAWAZA TU KWA SAUTI JAMANI, msinielewe vibaya
Mie neno la 'kuwaza kwa sauti' nimelicopy na kupaste kutoka kwa Simon Kitururu, nililipenda ndo maana siku hizi nalitumia sana, sijalianzisha mimi.
Ester umewaza kwa sauti vizuri sana ila lazima kutakiwa na mmoja alianza kubuni mimi naamini hivi..eti "NAWAZA TU KWA SAUTI JAMANI" JAMANI JAMANI kuwaza kwa sauti ni kuzuri kumbe:-)
ReplyDeleteYasinta hahahaha ni kweli kuna mwanzilishi hapo, ila ndo hivyo tena
ReplyDelete