mazungumzo yakawa iv ;-
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend..??
MREMBO: ndio ninae kwn wee nan ??
NAMBA NGENI: mimi baba ako kumbe una boyfriend
nikirud utanitambua.
....simu ikakatika...
Mrembo akiwa na mawazo nini afanye simu ikaita
tena kwa namba ngeni tofauti na ya mwnzo:
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend??
MREMBO: hapana cna.
NAMBA NGENI: vipi mpenzz?? Ina maana
umensaliti??
MREMBO: hapana bby nlijua baba kanipigia simu sasa hiv.
NAMBA NGENI: ni mimi baba yako, nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend, nakwambia utanikoma leoo.
From Anord Kayanda Facebook page
Kazi kwelikweli!!
ReplyDeletesi kidogo hapo
ReplyDeletekuna wazee wasaniii,,mbona dada wa watu alikoma..
ReplyDelete