YA 5 ALBUM, NOW AVAILABLE ON ITunes
From Lady JAYDEE;
Sasa Album mpya ya LADY JAYDEE.
Inayoitwa 'Ya - 5 The Best Of Lady Jaydee' inapatikana online kupitia Itunes
Wapenzi wa muziki wa KiTZ na wapenzi wa muziki wa Jide wanaweza kufata kupitia link hii ya itunes;
Naridhika Sana kwa Support ninayopata..
Asante
With Love,
Jaydee...
Mtembelee Hapa
Ahsante kwa kutuhabarisha! Naipenda sana miziki ya Jay Dee.
ReplyDeleteAsante sana Yasinta, tuvipende vya kwetu vya kwao tuwaachie wahangaike navyo
ReplyDelete