Pages

Friday, April 27, 2012

URBAN LADY Look Book: The Weekend Electic

 Weekend ndo imefika, wapo wawazao watoke vipi, this is special for Urban Ladies
 Changanya rangi zako kutokana na nguo zako zilivyo
Kuwa smart ni muhimu, smartness is an art beauty is God given, pendezeni wadada ndo muda wenyewe huu

No comments:

Post a Comment