Pages

Monday, April 30, 2012

STRIKE BACK - SEASON 1

 Weekend yangu baada ya majukumu ya kifamilia kuyakamilisha,nikaamua nirudie kuangalia hii series, ni miongoni mwa series nizipendazo
 Kwa wapenda Action wata enjoy sana, waliowahi kuiona wanaelewa nilisemalo
 Hizi picha ni baadhi ya matukio katika Episode za season 1
 Hii jela Askari wake walinifurahisha sana, kidogo jamaa apigwe na Nyundo ya uhakika Lol
Naendelea na Season 2 leo, ni series nzuri kama hujawahi kuiona isake

No comments:

Post a Comment